Best Hospital in Tanzania | Mara Health Center
Mobile_logo

Mara Health Centre



Testimonials

start quote end quote
  • Anna Stazia

    “Thank you Mara Health Center. I can play with my children again.”

    Anna Stazia

  • Mama Pacha

    “Sina la kusema ila ni shukrani zaidi ya kutoa shukrani sana kwa madaktari wa Mara health Center Kijichi kwa huduma yao kipindi najifungua mtoto wa pili. Nilipewa huduma nzuri sana na kwa uweza wa mungu nilifanikiwa kujifungua watoto mapacha wenye afya njema”

    Mama Wawili

  • “Niliona matangazo kwenye Instagram ya Mara Health Centre na nikaamua kwenda kituoni. Huduma zao ni nzuri na nimekua nikienda kila mara ninapokua na tatizo lolote la kiafya.”

    Martha William

  • “Huduma bora mda wote. Nilifika kituoni saa 6 usiku kupata huduma ya dharura nilihudumiwa vizuri sana.”

    Amos James