Best Hospital in Tanzania | Mara Health Center
Mobile_logo

Mara Health Centre

News and Events

JIUNGE

Mara Health tuna utaratibu wa kutuma majarida ya afya toka yenye ushauri na mambo mbali mbali muhimu ya kujikinga na magojwa na kuwa na mwendelezo wa afya njema Chagua kujiunga nasi kwa kubonjeza kitufe hapa chini ili kupata taarifa hizi kila mwezi

Nikijiunga napata nini ??

  • 1) Taarifa muhimu juu ya kujikinga na magonjwa

  • 2) Habari mpya zinazohusu masuala ya afya


JIUNGE SASA



Testimonials

start quote end quote
  • Anna Stazia

    “Thank you Mara Health Center. I can play with my children again.”

    Anna Stazia , May 2017

  • Mama Pacha

    “Sina la kusema ila ni shukrani zaidi ya kutoa shukrani sana kwa madaktari wa Mara health Center Kijichi kwa huduma yao kipindi najifungua mtoto wa pili. Nilipewa huduma nzuri sana na kwa uweza wa mungu nilifanikiwa kujifungua watoto mapacha wenye afya njema”

    Mama Wawili, May 2014